Posts

MAENDELEO

 Maendeleo ya SAYANSI na TEKNOLOJIA yamekuwa chachu ya tafiti mbali mbali katika tasnia hii ya habari  Pamoja na kukuwa kwa utandawazi na kuongezeka kwa vifaa mbalimbali vya habari Bado tasnia hii ya habari inapitia changamoto nyingi  Moja ya changamoto hizi ni pamoja na kuokosekana kwa Sheria zitakazo mlinda mwanahabari pale atakapo gusa utawala, pili ni kutopata uhuru wa kutoa taarifa za kitafiti zinazo gusa utawala wa kiserikali pia ni kutopata mguso wa jamii kuwapa taarifa juu ya mambo hasi yanayo zikumba jamii husika